Bega kwa bega

Bega kwa bega

Kufanya kazi pamoja. Simulizi za kutia hamasa za Wajapani wanaofanya kazi na jamii kwenye nchi zinazoendelea ili kusaidia kutatua maswala fulani na kutengeneza fursa.

>>> Kipindi hiki kinapatikana pia kwenye video On Demand <<<