Liella! and ONE N' ONLY
Leo, tuna makundi mawili. Yanavutia nadhari ya wengi mwaka huu kupitia katuni za anime na mitandao ya kijamii. La kwanza ni mfululizo wa mradi pendwa wa shule wa kundi la "Love Live!" ambalo ni maarufu duniani. Wanajulikana kama Liella!. La pili ni ONE N' ONLY ambalo ni kundi la dansi na uimbaji. Mtindo wao wa muziki siyo J-pop au K-pop. Ni mtindo wa kipekee unaoitwa JK-pop. Tafadhadli furahia mahojiano yao ya kipekee na tumbuizo mubashara studioni. (Kipindi hiki kilitangazwa Mei 14, 2022.)

*Kutokana na hakimiliki na makatazo mengine, kipindi hiki hakipatikani kadiri utakavyo.