Higuchi Ai
Katika kipindi hiki, tunakuletea mwimbaji na mtunzi wa nyimbo mwenye kipaji Higuchi Ai. Alianza kuimba kwenye kampuni kubwa ya muziki mwaka 2016. Anafahamika kwa mashairi yake yenye mbwembwe yanayoelezea mtazamo wa kipekee. Mwaka huu, wimbo wake "Akuma no Ko" au "Child of evil," ulitumika kuhitimisha mfululizo wa hivi karibuni wa katuni za runinga za anime unaojulikana kama "Shingeki no Kyojin," au "Attack on Titan." Tafadhali furahia mahojiano haya ya kipekee na Higuchi Ai pamoja na tumbuizo zake mubashara studioni. (Kipindi hiki kilitangazwa Agosti 6, 2022.)

*Kutokana na hakimiliki na makatazo mengine, kipindi hiki hakipatikani kadiri utakavyo.