Miyazawa Kazufumi na Takeuchi Anna
Tuna wageni wawili kwenye kipindi hii leo. Wa kwanza ni mwimbaji na mtunzi wa nyimbo, Miyazawa Kazufumi. Moja ya nyimbo zake maarufu, Shima Uta ulikuwa wimbo maarufu ukiuza zaidi ya nakala milioni moja na nusu. Huku ukiimbwa upya ng'ambo, wimbo huo umeimbwa kote duniani. Mgeni wetu wa pili ni Takeuchi Anna, mwimbaji na mtunzi wa nyimbo ambaye amekuwa akitumbuiza kimataifa, akishiriki moja ya matamasha makubwa ya muziki nchini Marekani. Tafadhali furahia mahojiano yao ya kipekee na tumbuizo mubashara studioni.

*Kutokana na hakimiliki na makatazo mengine, kipindi hiki hakipatikani kadiri utakavyo.