NEW ROTE'KA
Leo, tutakuwa na bendi ya rock ya NEW ROTE'KA. Bendi hiyo iliyoundwa mwaka 1984, kwa sasa ina wanachama wanne: mwimbaji ATSUSHI, mcharaza besi KATARU, sogora NABO, na mpiga gita RYO. Wanajieleza kama daima wapenzi wa rock, na wamekonga mioyo ya mashabiki kwa mashairi yao ya wazi na utumbuizaji wa ucheshi. Tafadhali furahia mahojiano ya kipekee na utumbuizaji wao mubashara studioni. (Kipindi hiki kilitangazwa Januari 15, 2022.)

*Kutokana na hakimiliki na makatazo mengine, kipindi hiki hakipatikani kadiri utakavyo.