SalsaGumtape na PassCode
Wageni wetu leo ni makundi mawili. Kundi la kwanza ni SalsaGumtape, bendi ya rock yenye miaka zaidi ya 25 sasa. Ina wanamuziki 25 wakiwemo wenye ulemavu, wenye historia na umri tofauti. Kundi la pili ni la wanawake wanne la PassCode. Tofauti na mwonekano wao wa kupendeza, wanachama wake wanawavutia mashabiki kwa muziki wao mgumu uliotokana na hardcore punk au heavy metal na utumbuizaji wa kupaza sauti. Tafadhali furahia mahojiano ya kipekee na utumbuizaji wao mubashara studioni. (Kipindi hiki kilitangazwa Disemba 11, 2021.)

*Kutokana na hakimiliki na makatazo mengine, kipindi hiki hakipatikani kadiri utakavyo.