FANTASTICS from EXILE TRIBE na SUPER★DRAGON
Katika kipindi hiki, tutayaangazia makundi mawili ya wanaume ambayo ni -- FANTASTICS from EXILE TRIBE na SUPER★DRAGON. FANTASTICS from EXILE TRIBE liliundwa mwaka 2016. Linaongozwa na Sato Taiki na Sekai, wanachama wa kundi lingine lijulikanalo kama EXILE lenye wafuasi wengi Japani. SUPER★DRAGON ni kundi la kucheza dansi na kuimba lenye wanachama wa umri kati ya miaka 16 na 21. Utasikia mahojiano yao maalum na walivyotumbuiza mubashara studioni. (Kipindi hiki kilitangazwa Desemba 12, 2020.)

*Kutokana na hakimiliki na makatazo mengine, kipindi hiki hakipatikani kadiri utakavyo.