FANTASTICS from EXILE TRIBE na SUPER★DRAGON
Katika kipindi hiki, tutayaangazia makundi mawili ya wanaume ambayo ni -- FANTASTICS from EXILE TRIBE na SUPER★DRAGON. FANTASTICS from EXILE TRIBE liliundwa mwaka 2016. Linaongozwa na Sato Taiki na Sekai, wanachama wa kundi lingine lijulikanalo kama EXILE lenye wafuasi wengi Japani. SUPER★DRAGON ni kundi la kucheza dansi na kuimba lenye wanachama wa umri kati ya miaka 16 na 21. Utasikia mahojiano yao maalum na walivyotumbuiza mubashara studioni.

*Kutokana na hakimiliki na makatazo mengine, kipindi hiki hakipatikani kadiri utakavyo.