MONKEY MAJIK
Wiki hii tunaangazia Bendi ya MONKEY MAJIK.
Orodha ya nyimbo: "Sora wa marude" yaani Mbingu ni Kama Tu…; na wimbo “Golden Road.”

*Kutokana na haki miliki na makatazo mengine, kipindi hiki hakitopatikana kwenye on demand.