Morning Musume.'20 and SCANDAL
Wasikilizaji wa redio sasa wanaweza kufurahia J-MELO, kipindi cha muziki cha TV cha NHK WORLD-JAPAN. Morning Musume.'20 and SCANDAL kitatokea kwa mara ya kwanza kwenye matangazo ya redio. (Kipindi hiki kilitangazwa Aprili 4, 2020.)

*Kutokana na haki miliki na makatazo mengine, kipindi hiki hakitopatikana kwenye on demand.