J-MELO

J-MELO

Tasnia ya muziki wa kusisimua wa Japani! Pop, rock, kitamaduni na zaidi! Utumbuizaji wa moja kwa moja, mahojiano na wasanii pamoja na habari zote za hivi karibuni na video zilizozinduliwa!

>>> Kipindi hiki kinapatikana pia kwenye video On Demand <<<