Simulizi za Wenyeji

Simulizi za Wenyeji

Kuelekea mashindano ya olimpiki na paralimpiki jijini Tokyo, serikali nyingi za mitaa zimesajiliwa kama miji enyeji ya nchi na maeneo yatakayoshiriki mashindano hayo. Tunaangazia mabadilishano ya kimataifa kote nchini Japani.