Kathryn Bertine / Mwendesha Baiskeli wa zamani wa Kulipwa na Mwanaharakati
Tatizo la kutokuwepo kwa usawa wa kijinsia katika michezo unaoonekana katika miaka ya hivi karibuni, mwendesha baiskeli wa zamani wa kulipwa, Kathryn Bertine amekuwa akiongoza juhudi za kuondoa tofauti za malipo katika nchi yake ya nyumbani, Marekani. Tumemuuliza kuhusu kazi anayofanya ya kuboresha namna wanamichezo wa kike wanavyothaminiwa na kufungua fursa kwa ajili yao. (Kipindi hiki kilitangazwa Desemba 8, 2022.)
Kathryn Bertine / Mwendesha Baiskeli wa zamani wa Kulipwa na Mwanaharakati