Jose Andres / Mwazilishi wa World Central Kitchen
Jose Andres ni mpishi na mwanzilishi wa "World Central Kitchen," shirika lisilokuwa la kujipatia faida ambalo limeshatoa zaidi ya chakula cha bure milioni 70 katika maeneo yenye majanga ikiwemo Tonga na Haiti, na hivi karibuni nchini Ukraine na katika mipaka ya nchi jirani zilizoathiriwa na vita ya Urusi. Tunamuuliza kuhusu mapenzi yake kwa kazi za kibinadamu.
Jose Andres / Mwazilishi wa World Central Kitchen