Firzana Redzuan / Mwanzilishi wa shirika la Monster Among Us
Fizana Redzuan mwenye umri wa miaka ishirini, mwanzilishi wa shirika lisilo la kujipatia faida linalojulikana kama Monsters Among Us, ambalo ni shirika pekee linaloongozwa na vijana nchini Malaysia linalokabiliana na ukatili wa kingono dhidi ya watoto. Tunamuuliza Redzuan kuhusu jitihada zake za kulinda haki za watoto na kufanya dunia iliyo salama kupitia elimu. (Kipindi hiki kilitangazwa Oktoba 13, 2022.)
Firzana Redzuan / Mwanzilishi wa shirika la Monster Among Us