Andrea Rincon / Mwanaharakati wa Haki za Wahamiaji
Andrea Rincon ni mwanafunzi wa chuo kimoja ambaye ameanzisha shule sogevu ya watoto wahamiaji mjini Tijuana nchini Mexico. Anatusimulia magumu wanayokumbana nayo watoto wahamiaji na umuhimu wa kuwapatia fursa za kuendelea na masomo shuleni. (Kipindi hiki kilitangazwa Juni 9, 2022.)
Andrea Rincon / Mwanaharakati wa Haki za Wahamiaji.