Mark Van Baal / Mwanahisa, Mwanaharakati na Mwanzilishi wa "Follow This"
Moja ya malengo makuu ya kuhama kutoka fueli kisukuku ni namna ya kuyahusisha makampuni makubwa ya mafuta yanayozalisha zaidi ya nusu ya kabonidioksidi duniani. Tunazungumza na Mark Van Baal kutoka Uholanzi, ambaye ni mwanahisa na mwanaharakati anayewashirikisha maelfu ya wananchi kununua hisa katika makampuni makubwa ya mafuta na kusaidia maazimio ya utunzaji wa mazingira. (Kipindi hiki kilitangazwa Septemba 8, 2022.)
Mark Van Baal / Mwanahisa, Mwanaharakati na Mwanzilishi wa "Follow This".