Kenneth Rimdahl / Mwanzilishi na Afisa Mkuu Mtendaji wa kampuni ya chai ya Monsoon Tea
Kenneth Rimdahl, mzawa wa Uswidi alikumbana na chai inayoliwa, maarufu kama "miang" kaskazini mwa Thailand na kuanzisha biashara ya kuhamasisha mbinu endelevu ya ukuzaji wake kote duniani. Tulimuuliza kuhusu mmea wa chai hiyo, inayovunwa eneo hilo pamoja na biashara yake. (Kipindi hiki kilitangazwa Agosti 11, 2022.)
Kenneth Rimdahl / Mwanzilishi na Afisa Mkuu Mtendaji wa kampuni ya chai ya Monsoon Tea.