Joshua Miele / Mbunifu wa Teknolojia ya Watu Wenye Ulemavu
Mbunifu wa teknolojia Joshua Miele, ambaye yeye mwenyewe ni mlemavu wa macho, amefanya uvumbuzi wa aina mbalimbali kwa watu wenye ulemavu wa macho. Anaamini kwamba teknolojia iliyoendelezwa kwa ajili ya watu wenye ulemavu itachangia uvumbuzi utakaowanufaisha wale wasiokuwa na ulemavu. Tutasikia kutoka kwake maana ya kweli ya jamii jumuishi.
Joshua Miele / Mbunifu wa Teknolojia ya Watu Wenye Ulemavu.