Bella Galhos / Mwanaharakati wa Haki za Binadamu wa Timor Mashariki
Tunatambulisha shughuli za Bella Galhos, aliyehusika katika vuguvugu la kupigania uhuru wa Timor Mashariki na kwa sasa ni mwanaharakati wa haki za binadamu. Amebuni mandhari ya kuwasaidia makundi ya walio wachache, na kwa sasa anajibidiisha siyo tu kutengeneza jamii endelevu lakini pia jamii ambayo ni hodari na thabiti.
Bella Galhos / Mwanaharakati wa Haki za Binadamu wa Timor Mashariki.