Pankaj Garg / Afisa Mkuu Mtendaji wa Kampuni ya Innovation Thru Energy
Pankaj Garg ni mhandisi mzawa wa India ambaye ameishi nchini Japani kwa miaka 32. Aliendeleza mfumo wa IceBattery unaovutia nadhari kwa kutekeleza jukumu muhimu katika usafirishaji wa chanjo huku kukiwa na janga la virusi vya korona. Tunafahamu juhudi zake za kuleta mapinduzi katika mtungo wa uhifadhi wa ubaridi wakati wa usafirishaji.
Pankaj Garg / Afisa Mkuu Mtendaji wa Kampuni ya Innovation Thru Energy.