Abeer Bandak / Mwanzilishi Mwenza wa Tech2Peace
Mpalestina Abeer Bandak ameanzisha semina kwa ajili ya vijana wa Israel na Palestina kutangamana kupitia miradi ya teknolojia, na anaendeleza juhudi zake za kuimarisha maelewano ya pande mbili. Tulimhoji Bandak juu ya majukumu yake mapya ya kutatua migogoro ya pande hizo mbili. (Kipindi hiki kilitangazwa Machi 10, 2022.)
Abeer Bandak / Mwanzilishi Mwenza wa Tech2Peace.