Lilianne Fan / Mwanzilishi-Mwenza wa Shirika Lisilokuwa la Kujipatia Faida la Geutanyoe Linalotoa Usaidizi kwa Wakimbizi
Wakimbizi wapatao 180,000 wanasemekana kuishi nchini Malaysia. Kati yao, zaidi ya 100,000 ni Warohingya walioikimbia Myanmar na kuwasili Malaysia kwa kupitia Bangladesh. Tunazungumza naye Lilianne Fan, mwanaharakati wa haki za binadamu ambaye amekuwa akiwasaidia wakimbizi Warohingya kuwa sehemu ya jamii na kujitegemea.
Lilianne Fan / Mwanzilishi-Mwenza wa Shirika Lisilokuwa la Kujipatia Faida la Geutanyoe Linalotoa Usaidizi kwa Wakimbizi.