Yasui Hiromi / Mwanahabari Mpigapicha
Mwanahabari mpigapicha, Yasui Hiromi aliishi Afghanistan kwa miaka 20. Aliratibu masomo bila malipo kwa watoto na warsha za ufundistadi za wanawake na mengineyo. Tunazungumza na Yasui aliyejitolea maishani kuwahudumia watu wa nchi hiyo. (Kipindi hiki kilitangazwa Januari 13, 2022.)
Yasui Hiromi / Mwanahabari mpigapicha.