Maria Ressa, Mwanahabari Mfilipino
Maria Ressa, mwanahabari anayeishi nchini Ufilipino alipokea Tuzo ya Amani ya Nobel 2021 kwa kusimama kidete dhidi ya shinikizo la serikali na kupigania kwa dhati uhuru wa vyombo vya habari huku akianzisha tovuti yake ya habari za mtandaoni, Rappler, katika mazingira magumu ya vyombo vya habari nchini humo. Tumezungumza na Ressa anayevuta nadhari ya wengi duniani. (Kipindi hiki kilitangazwa Disemba 9, 2021.)
Maria Ressa, Mwanahabari Mfilipino.