Chimamanda Ngozi Adichie / Mwanafasihi wa Kike kutoka Nigeria
Chimamanda Ngozi Adichie ni mwanafasihi wa kwanza wa Afrika kushinda Tuzo ya National Book Critics Circle ya Marekani. Riwaya na insha zake kuhusu maswala ya jinsia na wahamiaji zimejawa na mitazamo ya kawaida lakini inayogusa jamii. Sasa anavuta nadhari ya vyombo vya habari kama kiongozi mtoa maoni duniani. Tunazungumza na mwandishi huyu anayesema watu wanapaswa kusoma zaidi hadithi na mashairi ili kupata hisia zaidi za ubinadamu. (Kipindi hiki kilitangazwa Novemba 11, 2021.)
Chimamanda Ngozi Adichie / Mwanafasihi wa kike kutoka Nigeria.