Jan Johnson / Mmiliki wa Hoteli ya Panama
Hoteli ya Panama jijini Seattle, Marekani inaelezea kumbukumbu za Wamarekani wenye asili ya Kijapani kutoka eneo hilo waliopelekwa kwenye kambi za mafunzo wakati wa Vita Vikuu vya Pili vya Dunia. Mwanamke mmoja Mmarekani amejitolea kuhifadhi jengo hilo la kihistoria kwa karibu miongo minne. Tunazungumza naye mmiliki wa jengo hilo, Jan Johnson. (Kipindi hiki kilitangazwa Oktoba 14, 2021.)
Jan Johnson / Mmiliki wa Hoteli ya Panama.