Cynthia Choi / Mwasisi mwenza wa 'Stop AAPI Hate', Shirika Linalolenga Kukomesha Chuki dhidi ya Wamarekani wenye Asili ya Asia na Visiwa vya Pasifiki.
Shirika la "Stop AAPI Hate" lilianzishwa mwaka 2020 kupambana na uhalifu wa chuki unaoongezeka dhidi ya Wamarekani wenye asili ya Asia na Visiwa vya Pasifiki kwenye nchi ya Marekani iliyoathiriwa na janga la korona. Shirika hilo limekuwa likijishughulisha na kukusanya na kutoa takwimu za matukio ya chuki dhidi ya watu hao na kufichua mara kwa mara yaliyojificha. Tunafahamu kutoka kwa mwasisi mwenza Cynthia Choi juu ya hali ya sasa ya uhalifu kama huo na hatua muhimu kwa siku zijazo.
Cynthia Choi / Mwasisi mwenza wa 'Stop AAPI Hate', Shirika Linalolenga Kukomesha Chuki dhidi ya Wamarekani wenye Asili ya Asia na Visiwa vya Pasifiki.