Yukari Tangena-Suzuki ~Mwenyekiti wa "The Foundation Dialogue Netherlands-Japan-Indonesia"~
Yukari Tangena-Suzuki, mwenyekiti wa "The Foundation Dialogue Netherlands-Japan-Indonesia" amekuwa akiongoza shughuli za shirika la Uholanzi lisilo la kujipatia faida kuponya maumivu ya kihisia yaliyotokana na vita kupitia mazungumzo. Anawezaje kuwaunganisha watu na kuhamasisha maridhiano? Kipindi hiki kitaangazia juhudi zake za miaka 20. (Kipindi hiki kilitangazwa Mei 13, 2021.)
Yukari Tangena-Suzuki, Mwenyekiti wa "The Foundation Dialogue Netherlands-Japan-Indonesia".