Ogawa Shingo / Mkurugenzi wa Shirika Linalosaidia Kuwarejesha Wanajeshi Watoto kwenye Jamii
Ogawa Shingo anafanya kazi ya kuwasaidia watoto waliowahi kuwa wanajeshi kurejea katika jamii nchini Uganda. Watoto hao wana makovu makubwa ya kiakili na kimwili yaliyotokana na vita vya wenyewe kwa wenyewe. Anazungumzia namna alivyowasaidia vijana wenye changamoto kujisimamia kupitia shughuli kama vile ushauri na mafunzo stadi. (Kipindi hiki kilitangazwa Julai 8, 2021.)
Ogawa Shingo / Mkurugenzi wa Shirika Lisilokuwa la Kiserikali linalosaidia kuwarejesha wanajeshi watoto kwenye jamii.