Olga Reiche / Mtaalam wa Vitambaa kutoka Guatemala
Olga Reiche ni mtaalam wa vitambaa kutoka Guatemala. Katika nchi hiyo inayofahamika sana kwa utamaduni wa vitambaa, amekuwa akitafiti tamaduni za utiaji rangi kwenye vitambaa zilizojikita zaidi maeneo ya vijijini na kunadi vitambaa hivyo katika sehemu zingine za nchi hiyo na ng'ambo. Tunamuuliza namna utamaduni wa vitambaa wa Guatemala unavyoweza kutunzwa wakati wa changamoto mbalimbali, kama vile vita vya raia na majanga ya asili.
Olga Reiche / Mtaalam wa Vitambaa kutoka Guatemala.