Dominique Chen ~Mwanasayansi wa Habari~
Dominique Chen, mtafiti kinara wa teknolojia ya kidijitali na masomo ya ustawi, anatoa vidokezo kuhusu namna ya kutumia teknolojia za kidijitali ili kuwa na furaha katika maisha yetu. (Kipindi hiki kilitangazwa Januari 7, 2019.)
Dominique Chen / Mwanasayansi wa Habari