Saengduean Chailert ~Mwanaharakati wa Hifadhi ya Tembo Kaskazini mwa Thailand~
Saengduean Chailert ni mwasisi wa Hifadhi ya Asili ya Tembo kaskazini mwa Thailand inayohudumu kama makazi ya tembo wa bara la Asia. Chailert anatuambia juu ya azimio lake kama msimamizi aliyejitoa wa wanyama hao barani Asia. (Kipindi hiki kilitangazwa Disemba 3, 2020.)
Saengduean Chailert / Mwanaharakati wa Hifadhi ya Tembo Kaskazini mwa Thailand.