Paula Ingabire ~Waziri wa ICT na Uvumbuzi, Rwanda~
Huku ikifurahia ukuaji mzuri wa kiuchumi miaka ya hivi karibuni, Rwanda inajikita katika sera endelevu ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano, ICT. Mwanamke aliyeteuliwa kama Waziri wa ICT na Uvumbuzi akiwa na umri wa miaka 35 tu anazungumzia mustakabali wa ICT.
Paula Ingabire ~Waziri wa ICT na Uvumbuzi, Rwanda