Mitch Albom ~Mwandishi wa Kitabu Kinachouzwa Zaidi, Mhisani~
Mitch Albom alianza mfululizo wake wa "Human Touch," Aprili, 2020. Mapato yaliyotokana na kitabu chake cha mtandaoni na sauti kinachozungumzia namna watu mjini Detroit wanavyopambana na janga yanafadhili uhisani wake. Albom anazungumzia mfululizo wake huo na sababu za kuweza kutoa msaada kwa watu wengi katika kipindi cha muda mfupi. (Kipindi hiki kilitangazwa Oktoba 8, 2020.)
Mitch Albom ~ Mwandishi wa kitabu kinachouzwa zaidi, mhisani.