Houriya Taheri ~ Kocha wa Kwanza Mwanamke Aliyepewa Leseni na FIFA, Mashariki ya Kati
Houriya Taheri ni kocha wa kwanza wa soka mwanamke aliyepewa leseni ya FIFA ya daraja 'A'  Mashariki ya Kati.  Katika mazingira ambapo wanamichezo wanawake wanakabiliwa na ukomo mablimbali, aliwezaje kufikia upeo huo? Tunamuuliza anachowaza juu ya kutimiza ndoto hiyo.
Houriya Taheri, kocha wa kwanza mwanamke aliyepewa leseni na FIFA, Mashariki ya Kati