Muhammad Yunus - Mwasisi wa Benki ya Grameen
Mchumi wa Bangladesh Muhammad Yunus ameshinda tuzo ya Nobel kwa kutengeneza mfumo wa "microcredit" kwa watu masikini. Tunazungumza naye juu ya jitihada yake mpya, ya "biashara ya jamii," inayomfanya asafiri duniani .
Muhammad Yunus, Mwasisi wa Benki ya Grameen