Kipindi hiki kinazungumzia mada juu ya uundwaji wa jamii yenye tamaduni anuai kwa kujibu maswali kuhusu Japani, huku tukiangalia mabadilishano ya kimataifa na kutoa vidokezo juu ya kujiandaa na majanga.
>>>
Kipindi hiki kinapatikana pia kwenye video On Demand <<<