Kifahamu Kijapani
Karibu kwenye kipengele cha "Kifahamu Kijapani kupitia kwenye habari." Katika kipengele hiki, tunajifunza misamiati ya Kijapani kupitia habari. Kichwa cha habari cha leo ni "Mahitaji ya huduma za kukodi magari yaliyotumiwa yaongezeka", kilichochapishwa kwenye tovuti ya NEWS WEB EASY Aprili 12, 2022. Maneno muhimu ni pamoja na 「中古(の)(ちゅうこ の) chuuko(no)」yaliyotumiwa na 「税金(ぜいきん) zeekin」kukodi.