Ana kwa Ana

Ana kwa Ana

Kipindi hiki kitaangazia watu ambao msikilizaji angependa kukutana na kuzungumza nao. Watu hao ambao watakuwa raia wa Japani au wa kigeni, wanaweza kuwa watu maarufu ama si maarufu katika nyanja mbalimbali nchini Japani, au watu walioshiriki katika tafiti mbalimbali na shughuli za kipekee, pamoja na watu wa kawaida. Kipindi hiki kitaangazia watu hao ni akina nani na wanafanya nini.