Uvumbuzi kutoka Japani

Uvumbuzi kutoka Japani

Kupitia kipindi hiki, msikilizaji atafahamu bidhaa maarufu duniani bila kusahau teknolojia ya hali ya juu nchini Japani, yenye umuhimu duniani. Kwa kuhusisha wataalamu, utasikia mitazamo mbalimbali kuhusu Japani ya sasa kupitia bidhaa na teknolojia.