Ripoti: Sehemu ya Kwanza ya Maonyesho ya Kimataifa ya Utalii ya Japani mwaka 2023
Hiki ni kipindi kinachohusisha mahojiano ya kusisimua na wageni mbalimbali kutoka ndani na nje ya Japani. Wakati huu, tunakuletea sehemu ya kwanza ya ripoti kuhusu Maonyesho ya Kimataifa ya Utalii ya Japani mwaka 2023 yaliyofanyika jijini Osaka kuanzia Oktoba 26 hadi 29.
Aidha, utasikiliza namna watangazaji wetu wanavyozamia gumzo za kuvutia zitakazokuacha ukivunjika mbavu. Hatimaye, kipindi kitafikia ukingoni baada ya sisi kutangamana nawe msikilizaji kwa kusoma ujumbe wako. Usikose kusikiliza!
Matukio mbalimbali katika Maonyesho ya Kimataifa ya Utalii ya Japani mwaka 2023 jijini Osaka.