Ripoti: Tamasha la Afrika
Hiki ni kipindi kinachohusisha mahojiano ya kusisimua na wageni mbalimbali kutoka ndani na nje ya Japani. Wakati huu, tunakuletea ripoti kuhusu Tamasha la Afrika lililofanyika katika bustani ya Yoyogi jijini Tokyo nchini Japani Oktoba 14 na kuhusisha watu kutoka mataifa mbalimbali.

Aidha, utasikiliza namna watangazaji wetu wanavyozamia gumzo za kuvutia zitakazokuacha ukivunjika mbavu. Hatimaye, kipindi kitafikia ukingoni baada ya sisi kutangamana nawe msikilizaji kwa kusoma ujumbe wako. Usikose kusikiliza! (Kipindi hiki kilitangazwa Oktoba 22, 2023.)
Picha za matukio mbalimbali katika Tamasha la Afrika lililofanyika Oktoba 14 katika Bustani ya Yoyogi iliyopo jijini Tokyo nchini Japani ambapo Idhaa ya Kiswahili ya NHK WORLD JAPAN ilikuwepo.