Ripoti: Hotuba za washiriki wa Tamasha la Siku ya Kiswahili Duniani
Hiki ni kipindi kinachohusisha mahojiano ya kusisimua na wageni mbalimbali kutoka ndani na nje ya Japani. Wakati huu, tunakuletea ripoti kuhusu hotuba za Wajapani walioshiriki Tamasha la Siku ya Kiswahili Duniani lililofanyika katika ubalozi wa Tanzania nchini Japani uliopo jijini Tokyo.

Aidha, utasikiliza namna watangazaji wetu wanavyozamia gumzo za kuvutia zitakazokuacha ukivunjika mbavu. Hatimaye, kipindi kitafikia ukingoni baada ya sisi kutangamana nawe msikilizaji kwa kusoma ujumbe wako. Usikose kusikiliza!
Baadhi ya Wajapani waliotoa hotuba katika Tamasha la Siku ya Kiswahili Duniani.
Baadhi ya Wajapani waliotoa hotuba katika Tamasha la Siku ya Kiswahili Duniani.
Baadhi ya Wajapani waliotoa hotuba katika Tamasha la Siku ya Kiswahili Duniani.