Mahojiano: Mwalimu Kadoya Masaaki
Hiki ni kipindi kinachohusisha mahojiano ya kusisimua na wageni mbalimbali kutoka ndani na nje ya Japani. Wakati huu, tunakuletea mahojiano na Mwalimu Kadoya Masaaki, raia wa Japani kuhusu ziara yake ya hivi karibuni nchini Tanzania katika mkoa wa Songwe.

Aidha, utasikiliza namna watangazaji wetu wanavyozamia gumzo za kuvutia zitakazokuacha ukivunjika mbavu. Hatimaye, kipindi kitafikia ukingoni baada ya sisi kutangamana nawe msikilizaji kwa kusoma ujumbe wako. Usikose kusikiliza!
Mwalimu Kadoya Masaaki.