Ripoti: Maadhimisho ya Miaka 59 ya Muungano wa Tanzania
Hiki ni kipindi kinachohusisha mahojiano ya kusisimua na wageni mbalimbali kutoka ndani na nje ya Japani. Wakati huu, tunakuletea ripoti kuhusu Maadhimisho ya Miaka 59 ya Muungano wa Tanzania yaliyoandaliwa na ubalozi wa Tanzania nchini Japani na kufanyika jijini Tokyo.

Aidha, utasikiliza namna watangazaji wetu wanavyozamia gumzo za kuvutia zitakazokuacha ukivunjika mbavu. Hatimaye, kipindi kitafikia ukingoni baada ya sisi kutangamana nawe msikilizaji kwa kusoma ujumbe wako. Usikose kusikiliza!
Baadhi ya picha katika maadhimisho hayo.
Baadhi ya picha katika maadhimisho hayo.
Baadhi ya picha katika maadhimisho hayo.