Hiki ni kipindi kinachohusisha mahojiano ya kusisimua na wageni mbalimbali kutoka ndani na nje ya Japani. Wakati huu, tunakuletea mahojiano na msikilizaji wa siku nyingi wa Idhaa ya Kiswahili ya NHK WOLRD JAPAN, Generoza Ndunguru ambaye kwa sasa yupo masomoni nchini Japani. Hatimaye, kipindi kitafikia ukingoni baada ya sisi kutangamana nawe msikilizaji kwa kusoma ujumbe wako. Usikose kusikiliza!
Generoza Ndunguru, Msikilizaji wa siku nyingi wa Idhaa ya Kiswahili ya NHK WOLRD JAPAN.