Hiki ni kipindi kinachohusisha mahojiano ya kusisimua na wageni mbalimbali kutoka ndani na nje ya Japani. Wakati huu, tunakuletea mazungumzo kuhusu sikukuu ya Krismasi inavyosherehekewa nchini Japani. Usikose kusikiliza!
Balozi wa Tanzania nchini Japani Baraka Luvanda ametuma salamu za kheri ya krismasi na mwaka mpya.
Baadhi ya wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili ya Radio Japani waliotuma salamu za krismasi na mwaka mpya.