Mahojiano: DADA Masayo
Hiki ni kipindi kinachohusisha mahojiano ya kusisimua na wageni mbalimbali kutoka ndani na nje ya Japani. Wakati huu, mgeni wetu ni Inoue Masayo maarufu Dada Masayo, mjapani aliyeishi Tanzania na kufanya kazi mbalimbali za kijamii ikiwemo utayarishaji wa katuni za watoto na ushiriki katika filamu na msanii maarufu marehemu Mzee Majuto wakati wa uhai wake. Usikose kusikiliza!
Inoue Masayo maarufu Dada Masayo.