Mahojiano: Ras Franz Ngogo
Hiki ni kipindi kinachohusisha mahojiano ya kusisimua na wageni mbalimbali kutoka ndani na nje ya Japani. Wakati huu, mgeni wetu ni Ras Franz Ngogo, mkazi wa wilaya ya Tarime mkoani Mara nchini Tanzania na msikilizaji wa muda mrefu wa Idhaa ya Kiswahili ya NHK WORLD JAPAN, ambaye anatusimulia mambo anayoyakumbuka alipotembelea nchini Japani pamoja na maisha yake binafsi. Usikose kusikiliza!
Ras Franz Ngogo, msikilizaji wa muda mrefu wa Idhaa ya Kiswahili ya NHK WORLD JAPAN.